Kila kitu kinachohusu Watu maarufu, Urembo , Mavazi, Mapenzi na Mahusiano
Family values: Kim said North, seen here in the arms of her father Kanye West, found it confusing that Saint was at her home every day, but her cousin Penelope just visited
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali na mwenye huruma nyingi.
MAZISHI ya nguli wa muziki nchini Congo, Papa Wemba, ambaye amepoteza maisha Aprili 24 nchini Ivory Coast, yamesogezwa mbele badala ya kuzikwa leo atazikwa kesho.