Kwa sasa Muziki wa Singeli ndio habari ya mjini........  Singeli ni muziki ulioibuka kwa kasi na kujizolea mashabiki wengi na kuibua vipaji vingi.

Pamoja na  kuonekana kufanya vizuri  sokoni  na kuamsha ari ya baadhi ya watu kutaka kuingia huko baadhi ya wakongwe wa muziki akiwemo Juma Nature amedai muziki huo hautadumu....... Juma Nature alimwaga ubuyu huo wiki iliyopita alipofanya mazungumzo alipokuwa kwenye studio zake za Halisi Records aliachia ngoma yake mpya iitwayo Mtumba.... "Singeli ni muziki ambao hautoishi kwa muda mrefu bali unapita tu kwa sababu ni muziki wa kihuni" ......“Singeli itapita tu kwasababu ya uhuni,” alisema. “Unajua raia wengi wa Bongo hawapendi mambo ya kipumb*vu pumb*vu na mashabiki wetu wengi sana sio wahuni ila wahuni wanakuja katika hizi section, so wakija kwenye section hapo muziki hakuna tena,”  

Juma Nature atabiri kifo cha muziki wa Singeli






A pub is not the place one expects to see a classy performer dressed to the nines.

So it is perhaps appropriate Lady Gaga was flashing the flesh yet again as she completed her headline-grabbing Dive Bar Tour in Los Angeles on Thursday.

Hardly the equivalent of the working man's club circuit, the pop star gave her fans plenty to shout about as she dressed in almost impossibly skimpy outfits as she finished the Bud Light-sponsored series of intimate dates with a bang.

 More story click here

Lady Gaga leaves little to the imagination in skimpy stage gear and hotpants as she finishes Dive Bar Tour in LA