What a nice Family day out? Saint West enjoys a day out in NYC with big sister North as his parents Kim and Kanye dote on him during shopping trip

'I've been in love with her since I was 22': Drake leans in to kiss Rihanna (but she's suddenly shy) as he presents her with Vanguard Award after her FOUR performances


Wiki hii kumesambaa na fununu kuwa Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe.

WEMA SEPETU alikimbia jiji la DAR na kuhamia ARUSHA?

Hustle and bustle: The Monster-in-Law star was dressed down, but still eye-catching as she made her way through the Big Apple in the wake of her breakup from longtime love Casper Smart

'I am love': Jennifer Lopez wears her heart on her sweats while on set in NYC after split from Casper Smart


Kwa mujibu wa msanii wa THT, Max Spesho ambaye ni muigizaji wa tamthilia ya Kelele ya Clouds TV, Ruby ni pasua kichwa, ana dharau, anajisikia na mgumu kufanya naye kazi.

Ruby ni pasua kichwa, ana dharau, anajisikia na mgumu kufanya naye kazi.


IKIWA ni siku kadhaa baada ya mwanamuziki Koffi Olomide kufukuzwa nchini Kenya kwa kumpiga mnenguaji wake, Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Rhumba, raia wa Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo, Defao Matumona ‘General Defao’ leo amezuiliwa kwenye hoteli moja iliyopo mjini Mombasa nchini Kenya baada kushindwa kulipa bili kiasi cha Ksh 20,000.

Defao Yamkuta Kama ya Koffi, Akamatwa Kenya

Tyga Gives Kylie Jenner a 6-Figure Maybach for Her 19th Birthday