Kama kuna watu wanaandikwa kwenye Social media kwa Tanzania basi WEMA SEPETUNGA atakuwa katika kumi bora......  Naona sasa watu wameandika ya nje wamehamia mwilini tena na sasa hivi wamehamia kwenye makalio na sio ngozi!!!  Mitandaoni mwezi huu kumejaa madai  kuwa Msweet huyo  au  Miss Tanzania 2006,  ana liwowowo  kubwa kumzidi  na sio yote bali moja linaonyesha kuelemea kiasi cha watu kusema anatumia  dawa za KICHINA..... hali hii imeonyesha kuwafadhaisha watu wengi wa karibu ikiwemo na Mama  yake mzazi kiasi cha kuamua kuanika ukweli hadharani......

MADAI YALIPOANZA
Mashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo. Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe. Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala. Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.

WEMA ALIPOTAFUTWA
Agoma kupokea simu. Agoma kujibu ujumbe.

MAMA YAKE MZAZI SASA
“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo), wengine wanasema anatumia dawa za KICHINA  hakuna ukweli wowote kwani Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili wake.”

Mama yake WEMA SEPETU aja juu kuhusu Kalio FAKE la mwanawe

No comments:

Post a Comment